All posts tagged "Barcelona"
-
Makala
/ 5 years agoBarcelona Kumuongezea Stegen Mkataba
Mabosi wa Barcelona kwa sasa wanampango wa kumuongezea mkataba kipa wake Marc-Andre ter Stegen ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika 2022. Malengo ya...
-
Soka
/ 5 years agoBarca Wamekaa Bernabeu
Timu ya soka ya Barcelona jana ilikubali kipigo cha mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu nchini Hispania uliofanyika katika uwanja...
-
Soka
/ 5 years agoBado Yupo Sana Tu
Licha ya kutokuelewana na mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo Erick Abidal.Wawili hao walijibizana maneno baada ya Abidal kuwatuhumu wachezaji wa...
-
Makala
/ 5 years agoBarcelona Kwenye Mikono Ya Xavi.
Xavi Hernandez anaripotiwa kupewa dili la kuinoa timu ya Barcelona kwa kipindi cha miaka miwili akichukua nafasi ya Ernesto Valverde. Mtendaji...
-
Soka
/ 5 years agoEnrique Arejea Spain
Luis Enrique ameteuliwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Hispania baada ya hapo awali kujiengua kutokana na matatizo ya kiafya...
-
Soka
/ 5 years agoFitna Zawaponza Barca
Klabu ya Barcelona imetozwa faini ya kiasi cha Euro 300 na shirikisho la soka la Hispania baada ya kuvunja sheria wakati...
-
Soka
/ 5 years agoMessi Aipasua Kichwa Barca
Staa wa Barcelona Lionel Messi ameipasua kichwa klabu hiyo baada ya kucheza dakika 45 tu kisha kuumia kwa mara nyingine katika...
-
Soka
/ 5 years agoKinda la Barca Lageuka Lulu Hispania
Kinda wa timu ya Barcelona Ansumane “Ansu” Fati amegeuka lulu baada ya shirikisho la soka nchini humo kuanza harakati za kumpatia...
-
Soka
/ 6 years agoDybala Kutolewa Chambo Kisa Neymar
Timu ya Juventus imetuma ofa ya mshambuliaji Paulo Dybala na kiasi cha fedha kwenda Psg ili kumnasa mshambuliaji Neymar ambaye ameonesha...
-
Soka
/ 6 years agoNeymar Aikataa Psg
Mshambualiaji wa Brazil Neymar amemwambia mkurugenzi wa timu ya Paris st German(PSG) kuwa anataka kuondoka klabuni hapo katika majira haya ya...