Connect with us

Soka

Yanga,La liga Kimeeleweka

Klabu ya Yanga itasaini mkataba rasmi wa ushirikiano baina yake na wasimamizi wa ligi kuu ya Hispania(La liga) ambapo mkataba huo utakua wa ushirikiano katika maeneo mbalimbali ikiwemo namna ya uendeshaji wa klabu kwa njia za kisasa.

Mkataba huo utasainiwa siku ya jumamosi juni 30 katika hoteli ya kifahari ya Serena jijini Dar es salaam na utarushwa moja kwa moja na mitandao ya kijamii ya klabu hiyo pamoja na Azam Tv.

Yanga inatarajiwa kuwa mfaidikaji mkuu wa mkataba huo kwa kuwa ipo katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa mabadiliko klabuni hapo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka