Connect with us

Soka

Yanga Yatoa Tamko Fujo Mashabiki

Yanga sc imetoa tamko kufuatia baadhi ya mashabiki wa klabu hiyo kufanya vurugu baada ya mchezo dhidi ya Azam fc ambapo baadhi ya mashabiki waliwazomea wachezaji wakiwa katika basi la timu hiyo baada ya mchezo.

Pia mshabiki maarufu kama mzee wa utopolo nae alijikuta akifanyiwa fujo na mashabiki wenzake hali iliyosababisha klabu hiyo itoe tamko kupitia kwa kaimu katibu mkuu Patrick Saimon.Soma tamko lenyewe

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka