Connect with us

Soka

Yanga Yampiga Chini Mreno

Unamkumbuka yule mreno wa Mabadiliko alikuja nchini kuja kuandaa mchakato mzima wa klabu hiyo kuelekea hatua ya mabadiliko ya umiliki kwenda mfumo wa hisa?

Basi habari ikufikie kokote ulipo kwamba klabu hiyo imeachana na mzungu huyo aitwaye Caracca Domingos Pinto baada ya kuhitaji kuja nchini na wazungu takribani 30 ambao ni wataalamu ili kukamilisha mchakato huo hivyo klabu hiyo kuona gharama za kuwalipa wazungu hao ni nyingi.

Kufuatia kumpiga chini mreno huyo klabu hiyo ipo kwenye mazungumzo na moja ya timu ya La liga ili kuja kusaidia kukamilisha mchakato huo ambao umesalia sehemu ndogo maana timu hiyo tayari ilishakua kampuni toka enzi za Yusuph Manji.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka