Connect with us

Soka

Yanga Yampeleka Nchimbi Stars

Mshambuliaji wa timu ya Polisi Tanzania Ditram Nchimbi ameongezwa katika kikosi cha wachezaji walioitwa na kocha Ettiene Ndayiragije kujiunga na kambi ya Taifa stars inayojiandaa na mchezo dhidi ya Rwanda utakaofanyika jijini Kigali.

Mchezo huo wa kirafiki wa kalenda ya Fifa utafanyika october 14 ambapo awali kocha wa stars aliita jumla ya wachezaji 28 lakini baada ya mchezaji huyo kuifunga Yanga mabao 3 katika mechi iliyofanyika october 3 ambapo mabao hayo yamemfanya Ndayiragije kumuongeza mchezaji huyo katika kikosi hicho hivyo kufikisha jumla wachezaji 29 walioitwa.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka