Connect with us

Soka

Yanga sc Wamvizia Kagere

Inadaiwa baada ya kuwa na sintofahamu katika kikosi cha Simba sc kuhusu hatma ya Meddie Kagere kufuatia kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza cha klabu hiyo,klabu ya Yanga inamvizia endapo atashindwana na klabu yake.

Yanga sc inatatizo la ufungaji na inaona staa huyo kuwa ni dawa huku akiwa benchi mechi kadhaa katika klabu yake baada ya kocha Sven Vandebroek kuamua kutumia mshambuliaji mmoja John Boko hali ambayo haimfurahishi staa huyo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka