Connect with us

Soka

Yanga,Balinya Wavunja Ndoa

Klabu ya Yanga imvunja mkataba na mshambuliaji Juma Balinya baada ya pande mbili kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba huo wa miaka miwili uliosainiwa miezi sita iliyopita.

Balinya aliyekuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda msimu ulioisha alijiunga na Yanga akitokea Polisi Fc ya nchini aliyifungia mabao 18 na kumfanya kuwa mfungaji bora wa ligi hiyo.

Staa huyo alisajiliwa na kutambulishwa rasmi siku ya sherehe za uchangiaji wa klabu hiyo iliyopewa jina la “wiki ya wananchi” lakini ameshindwa kuonyesha kiwango klabuni hapo huku kuongezeka uzito ikitajwa na sababu ya kiwango kibovu.

Taarifa iliyotolewa na klabu inasomeka kama ifuatavyo..

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka