Connect with us

Soka

Winga Mghana Atua Yanga

Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Bernard Morrison kutoka nchini Ghana mwenye miaka 26 akitokea Orlando Pirates ya nchini Afrika ya kusini.

Morisson anakuwa usajili wa kwanza wa kocha Luc Eymael tangu atue jangwani wiki iliyopita.

Nyota huyo amewahi kuzitumikia DC Motema Pembe DRC (2018), Orlando Pirates (2016-2018), AS Vita DRC (2015-2016), Ashanti Gold FC Ghana (2013-2015) na Hearts of Lions (2010-2013

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka