Connect with us

Soka

Waziri Mkuu Apiga “Stop” Mazoezi

Waziri mkuu wa Italy Giuseppe Conte amekataza vilabu kurejea mazoezini na kusubiri angalau April 13 ili kuendelea kuchukua tahadhari kuhusu janga hili la mlipuko wa virusi vya Corona.

Ligi zote nchin Italia zilisimamishwa hadi ambapo tarehe rasmi itakapotolewa huku mechi pamoja na mazoezi yakisamamishwa ili kuepuka mkusanyiko wa watu kutokana na kusambaa kwa ugonjwa huo.

Lazio na Napoli tayari walikuwa wamewaruhusu wachezaji wao kurejea mazoezini na kabla ya yote vilabu hivyo vilipanga kuwapima kwanza wachezaji wao kabla ya mazoezi hayo kuanza.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka