Connect with us

Soka

Tshitshimbi Asaini Yanga

Kupitia mtandao wa instagram wa meneja wa kampuni ya GSM injinia Hersi Said inaonekana tayari kiungo Papy Tshitshimbi ameongeza mkataba wa kuichezea klabu ya Yanga.

Ingawa haijatangazwa rasmi lakini video hiyo inaonyesha tayari pande hizo mbili zimemalizana baada ya kuonyesha kuwa tayari amesaini na kuzima kelele za kuhitajika na klabu ya Simba sc pamoja na Azam fc.

Hivi karibuni klabu ya Yanga sc ilifanikiwa kumaliza tofauti zao na kampuni ya Gsm ambayo ilijitio kuisaidia klabu hiyo kwa masuala yaliyo nje ya mkataba,

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka