Connect with us

Soka

Toto Yalia Hujuma

Uongozi wa klabu ya Toto Africans inayoshiriki Ligi Daraja la Pili umetuma maombi kwenda Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ukidai haki baada ya kueleza kuwa wamefanyiwa hujuma na wapinzani wao Kasulu Red Stars kutokana na kuwachezesha ‘mamluki’ katika mechi ya mwisho ya ligi hiyo.

Toto inapambana ili kurudi ligi daraja la kwanza na hatimaye kurudi ligi kuu ambako ilijipatia umaarufu zaidi baada ya kuzikazia timu kubwa hasa Simba sc.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka