Soka
Tff Kushirikiana na Waarabu
Rais wa TFF Wallace Karia leo amefanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Soka cha Umoja wa Nchi za Falme ya Kiarabu UAE Eng.Marwan Bin Ghalita mazungumzo yaliyofanyika Makao Makuu ya Chama cha Soka UAE. Katika mazungumzo hayo wamejadiliana kuhusu ushirikiano wa pamoja baina ya pande hizo mbili na wamekubaliana kushirikiana kwenye miradi mbalimbali. Maeneo […]