Connect with us

Soka

Sure Boy Anukia Yanga

Yanga ipo mbioni kumnasa kiungo wa klabu ya Azam fc Abubakar Salum “Sure Boy”ili kutimiza mapendekezo ya mwalimu Luc Eymael ya kusajili kiungo fundi wa kutoa pasi za mwisho.

Inadaiwa mchezaji mwenyewe yuko tayari kujiunga na klabu hiyo baada ya kutofurahishwa na kukosa namba klabuni hapo pamoja na kutokuwa na utaratibu wa bonansi kwa wachezaji wa Azam fc.

Hii si mara ya kwanza kiungo huyo kuhusishwa na klabu ya Yanga huku ikitajwa kitendo cha baba mzazi wa mchezaji huyo kuwa mnazi wa Yanga kitarahisisha mchakato huo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka