Connect with us

Soka

Straika Mtata Atua Yanga

Inaelezwa kuwa uongozi wa Yanga tayari umemalizana na straika Tariq Seif kutoka Dekernes FC ya Misri amba aye pia aliwahi kkuifunga timu hiyo wakati akiichezea Biashara United ya Mara.
Mabosi wa mabingwa hao wa kihistoria kunako Ligi Kuu Bara walianza mchakato wa kupata saini yake ikiwa zimesalia siku chache kuelekea dirisha dogo.
Tayari Seif amemalizana na Yanga na anaweza  kutambulishwa rasmi wakati wowote,Seif amefanikiwa kuingia kambani mara tano tangu asajiliwe na waarabu hao.
Mbali na kufunga mabao matano, Seif amefanikiwa kutengeneza nafasi tatu za kufunga.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka