Connect with us

Soka

Straika Mpya Anukia Simba sc

Kocha wa Simba sc Patrick Aussems amesema timu hiyo lazima itaongeza mshambuliaji katika dirisha dogo la usajili baada ya kugundua upungufu katika eneo hilo.

Kocha huyo alisema hayo baada ya mechi dhidi ya mtibwa sugar ambapo timu hiyo iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 licha ya kutokua na washambuliaji wake asilia John Boko na Wilker da silva ambao ni majeruhi.

Simba imekua na wakati mgumu siku za karibuni kufuatia majeraha hayo ya washambuliaji wake  hali iliyosababisha kufanya vibaya katika michezo mbalimbali ikiwemo wa kimataifa dhidi ya Ud songo ambapo timu hiyo ilimtegemea Meddie Kagere ambaye aliwekewa ulinzi mnene.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka