Connect with us

Soka

Straika Mnigeria Kutua Yanga

Straika wa timu ya Biashara United ya mkoani Mara Mnigeria Innocent Edwin yupo kwenye mazungumzo ili kujiunga na timu ya Yanga kwenda kuboresha safu ya ushambuliajia ya klabu hiyo.

Licha ya kuwasajili Juma Balinya,Mybin Kalengo,Sadney Urikhob na wengine bado safu ya ushambuliaji ya klabu hiyo imekua butu hivyo kuwalazimu kufanya usajili ili kuziba nafasi hiyo.

Awali Yanga ilitaka kumsajili staa wa timu ya polisi ya Ditram Nchimbi lakini imeonekana dili hilo kushindikana baada ya staa huyo kuahidiwa ajira katika jeshi la polisi  hivyo kulazimika kumfuata mnigeria huyo mwenye mabao matatu ligi kuu.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka