Connect with us

Soka

Simba Kubadili Nembo

Klabu ya Simba sc ipo mbioni kubadili nembo yake kwa mujibu ya taarifa kupitia mitandao ya kijamii ya klabu hiyo.

Klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1936 imekua ikitumia nembo yenye rangi nyekundi na nyeupe huku ikiwa na alama ya Simba mnyama katika nembo hiyo.

Kuelekea katika kukamilisha mchakato huo klabu hiyo imeanza kukusanya maoni ya mashabiki ili kabla ya kuanza mchakato rasmi wa kukamilisha ubadilishaji huo.Tangazo lililowekwa katika mitandao ya klabu hiyo lilisomeka kama ifuatavyo:

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka