Connect with us

Soka

Sibomana Aikoa Yanga

Staa wa kinyarwanda Patrick Sibomana ameibuka shujaa baada ya kuokoa klabu ya Yanga na kuihakikishia kuomdoka na pointi tau katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Nangwanda sijaona mjini Mtwara dhidi ya Ndanda fc.

Yanga ilifanikiwa kupata bao hilo kwa njia ya adhabu baada ya beki wa ndanda kuunawa mpira wakati akipambana na Mrisho Ngassa aliyekua akielekea katika eneo la kumi na nane la timu hiyo.

Yanga kwa ushindi huo wamefikisha jumla ya pointi 10 baaada ya kucheza michezo mitano huku Simba wakiongoza ligi kwa point 22 baada ya kucheza michezo nane.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka