Connect with us

Soka

Serikali Yazui Mkusanyiko Fainali ASFC

Serikali imesema itaruhusu mashabiki wachache zaidi katika mchezo wa fainali ya kombe la Azam Sports Federation kati ya Simba na Namungo utakaofanyika katika Uwanja wa Nelson Mandela Sumbawanga.

Hatua hii inachukuliwa kufuatia mashabiki waliojitokeza kushuhudia Mchezo wa Nusu fainali ya michuano hiyo kutofuata muongozo wa kanuni za Afya Michezoni.katika Mchezo huo mashabiki 30,000 tu waliruhusiwa kuingia Uwanjani lakini walikaa kwa kurundikana pamoja bila kuacha nafasi baina yao.

katika taarifa yake Serikali imeeleza kusikitishwa na tabia za mashabiki kutozingatia taratibu zinazotakiwa kuzingatiwa kipindi hiki cha ugonjwa wa homa ya Corona.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka