Connect with us

Soka

Ronaldo Azua Balaa Juventus

Klabu ya Juventus, huenda ikalazimika kumuuza nyota wake Cristiano Ronaldo, kutokana na kutikisika kiuchumi wakati huu wa janga la virusi vya Corona na klabu hiyo ipo katika hatari ya kushindwa kumlipa Ronaldo, mshahara wake wa pauni laki tano kwa wiki (£500,000).

Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita Ronaldo na wachezaji wenzake, pamoja na kocha, Maurizio Sarri, wamekubali kupunguziwa mishahara yao ya miezi minne kuanzia Machi, Aprili, Mei na Juni ili kuisaidia klabu yao, ambapo itaokoa karibia pauni milioni 80 katika kipindi hicho.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka