Connect with us

Soka

Pitso Mosimane Azidi Kung’ara

Kocha wa Al Ahly raia wa Afrika Kusini Pitso Mosimane baada ya kuipa Ubingwa wa 9 Al Ahly wa Ligi ya Mabingwa Afrika, sasa anatajwa kama kocha wa 52 kwa ubora duniani kwa mujibu wa mtandao wa World football ranking.

Kocha huyo alisaidia timu yake ya Al Ahly kuifunga Zamalek mabao 2-1 na kunyakua taji la klabu bingwa barani ulaya baada ya kulikosa kwa miaka 9 ndipo ilipoamua kumnasa kocha huyo aliyeweka historia klabuni hapo.

Pitso kabla ya kujiunga na miamba hiyo ya alikua kocha wa Mamelod Sundowns akiisaidia kunyakua taji la klabu bingwa barani Afrika mwaka 2016 na kuweka rekodi ya kuingia katika makocha kumi bora duniani.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka