Connect with us

Soka

Ngorongoro Heroes Waimaliza Zanzibar

Timu ya soka ya vijana ya Tanzania (ngorongoro heroes) imeifunga timu ya vijana ya Zanzibar kwa mabao 5-0 katika michuano ya chalenji inayoendelea nchini Uganda.

Mshambuliaji Kelvin John “Mbappe” alipeleka kilio Zanzibar baada ya kuwafunga mabao matatu dakika ya 51’86’ na 90+1 huku mengine yakifungwa na Lusajo Mwaikenda na Novatus Dominiki.

Mchezo huo ulikua wa kukamilisha ratiba kwa Ngorongoro ambao walikua wameshafuzu hatua ya robo fainali huku Zanzibar ilikua ikitafuta ushindi ili ifuzu hatua hiyo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka