Connect with us

Soka

Ngassa,Sibomana Wakalia Kuti Kavu Yanga sc

Mawinga wawili wa kkabu ya Yanga Mrisho Ngassa na Patrick Sibomana wamekalia kuti kavu katika klabu hiyo kufuatia ripoti ya kocha Luc Eyamael kuhitaji watemwe ili kuleta mbadala wao.

Mbali na mawinga hao pia ripoti ya kocha huyo imeonyesha pia kiungo Rafael Daud na Juma Mahadhi nao watemwe sambamba na mabeki Ally Ally na Adeyum Salehe huku kipa Farouk Shikhalo akitakiwa kukaza kamba katika mwaka wake mmoja uliobaki katika mkataba wake.

Kocha huyo anahitaji kusajili wachezaji  wapya hasa wa safu ya ushambuliaji baada ya David Molinga na Yikpe Gnamien kushindwa kuonyesha uwezo hivyo watatemwa kupisha maingizo mapya.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka