Connect with us

Soka

Msuva Ajifunga Morroco

Winga wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu ya Morocco ‘Botola Liague’.

Mkataba wa awli aliousaini staa huyo akitokea klabu ya Yanga ulikua unafika tamati mwaka huu hivyo kutokana na kuongeza mwingine wa mwaka mmoja sasa atasalia klabuni hapo mpaka mwakani.

Msuva kwa sasa thamani yake imeporomoka kutoka euro 700,000 (Sh bilioni 1.5) katika viwango vilivyotoka Desemba, mwaka jana na Mtandao wa Transfermakt hadi kufikia euro 550,000 (Sh bilioni 1) katika viwango vilivyotoka Aprili 8, mwaka huu.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka