Connect with us

Soka

Mo Atikisa Tena Afrika

Mfanya biashara Mohammed Dewji maarufu ksma Mo,ametajwa tena na Ripoti mpya ya jarida la Forbes kuwa ni mfanya biashara Tajiri mdogo kuliko wote Afrika kwa mwaka wa sita mfululizo akikadiriwa kuwa na utajiri wa dola za kimarekani Bilion 1.6 (Trilion 3.69 za kitanzania).

Tajiri huyo ambaye anaimiliki mali mbalimbali ikiwemo klabu ya Simba sc inatajwa chanzo cha utajiri wake ni biashara mbalimbali kupitia viwanda vyake vilivyojikita katika uzalishaji huku pia akichuma pesa kupitia biashara,bima,kilimo na fedha.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka