Connect with us

Soka

Mkude,Morrison Wafungiwa

Kamati ya nidhamu ya TFF imewafungia Bernard Morrison (Yanga) na Jonas Mkude (Simba) kila mmoja mechi mbili pamoja na faini ya shilingi lakini tano (500,000) kutokana na vitendo ambavyo si vya kiungwana .

Morrison amebainika kuwa na kosa la kumpiga kiwiko Mchezaji wa Tanzania Prisons, huku Jonas akifanya hivyo kwa Mchezaji wa Biashara United .

Adhabu hizo zinaanza rasmi hii leo na hivyo, Morrison atakosekana kwenye mchezo dhidi ya Namungo FC huku Mkude akiukosa mchezo wa Mbeya City, michezo yote inachezwa hii leo .

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka