Connect with us

Soka

Messi,Ronaldo Kumekucha Ballon d’Or

Orodha ya wachezaji kumi bora watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia imetoka huku mastaa Christiano Ronaldo na Lionell Messi wakiongoza katika orodha hiyo ambayo itapigiwa kura na manahodha na makocha  wa timu za taifa pamoja na baadhi ya waandishi wa habari.

Majina hayo yanajumuisha wachezaji waliofanya vizuri katika klabu zao na timu za taifa kwa mwaka ulioisha hadi kusaidia timu zao kutwaa mataji makubwa duniani hasa ulaya.

Katika orodha hiyo mbali na Ronaldo na Messi wengine ni Mohamed Salah, Frenkie de Jong,Matthijs de Ligt,Eden Hazard,Harry Kane,Sadio Mane,Kylian Mbappe na Virgil van Dijk huku ikitarajiwa mshindi kutangazwa mwezi septemba jijini Milan,Italia.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka