Connect with us

Soka

Messi Atamba,Ronaldo Aingia Mitini

Staa wa Barcelona Lionel Messi ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa mara ya sita baada ya kuwashinda Virgil Van Djik na Cristiano Ronaldo ambao walishika nafasi ya pili na tatu.

Messi ametwaa tuzo hiyo baada ya kupata kura nyingi zaidi ya wenzake ambazo hupigwa na manahodha,makocha na waandishi wa habari.

Orodha ya mastaa wengine waliongoa kumi bora ni Sadio Mane,Mohamed Salah,Kyllian Mbappe,Allison Becker,Roberto Lewandowsk,Bernado Silva na Riyad Mahrez.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka