Connect with us

Soka

Mastaa Wampa Maisha Ighalo Man utd

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Odian Ighalo amesema anafurahia maisha ndani ya klabu hiyi kutokana na uwepo wa ukaribu wake na mastaa watatu wa klabu hiyo.

Ighalo aliyesajiliwa kutoka nchini china katika klabu ya Shangai Sheghua amefichua kuwa uwepo wa Juan Mata,Sergio Romero na David De Gea umekua msaada kwake kuzoea mazingira klabuni humo kutokana na ukaribu wa wachezaji hao wanaozungumza kihispaniola.

Staa huyo wa Nigeria amefanya vizuri toka asajiliwe united kiasi cha timu hiyo kutaka kumsajili moja kwa moja.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka