Connect with us

Soka

Mastaa Simba sc Kikaangoni

Klabu ya Simba imewaweka kitimoto wachezaji wanne wa klabu hiyo kutokana na utovu wa nidhamu.Katika taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imesema wachezaji hao watatakiwa kujieleza pindi watakapomaliza majukumu yao ya kimataifa kutokana na utovu huo wa nidhamu waliouonyesha.Taarifa kamili hiyo hapa.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka