Connect with us

Soka

Manula,Kakolanya Bado Sana Stars

Kocha wa timu ya Tanzania Ettiene Ndayiragije ameita kikosi cha wachezaji 28 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda oktoba 14 jijini Kigali nchini Rwanda ambapo ameendelea kuwaacha makipa wa Simba sc Aishi Manula na Beno Kakolanya.Orodha kamili ni ifuatayo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka