Connect with us

Soka

Man Utd Haishikiki

Klabu ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Westham United katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa London Stadium.

Thomas Soucek alipeleka kilio kwa Man United dakika la dakika la 38 ya mchezo lakini kipindi cha pili kilikua kizuri kwa Man United baada ya kupata mabaoa matatu ya haraka kupitia kwa Paul Pogba dakika ya 65,Mason Greenwood dakika ya 68 na Marcus Rashford dakika ya 78.

Man united imepanda mpaka nafasi ya nne ya msimamo ikiwa na alama 19 huku vinara Chelsea wakiwa kileleni kwa alama 22.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka