Connect with us

Soka

Man U inajipigia Tu

Manchester United imeibuka na ushindi wa Mabao 3-0 dhidi ya Aston Vila mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Vila Park.

Mabao ya Man utd yaliwekwa na Bruno Fernandes kwa penati dakika ya 27 huku Mason Green akifunga bao la pili na la 16 kwake katika mashindano yote dakiki za nyongeza kipindi cha pili.

Paul Pogba ameendeleza mwanzo mzuri tangu arejee baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 58 na kufanya Man Utd kuweka rekodi ya kushinda mechi nne mfululizo kwa mabao zaidi ya matatu.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka