Connect with us

Soka

Mamilioni Simba sc Usipime

Mwenyekiti Bodi ya wakurugenzi ya klabu ya Simba Mwekezaji wa Klabu hiyo Mohamed Dewji pamoja na viongozi wa Klabu ya Simba wamefanya kufuru Baada ya kuahidi donge nono ili kuifunga Yanga siku ya Jumapili July 12 kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la shirikisho ASFC.

Mo na viongozi wa Simba wametenga Milioni 400 kwa ajili ya mchezo huo ambazo zitagawiwa kwa wachezaji na benchi la ufundi klabuni hapo.

Habari za uhakika kutoka ndani ya Klabu ya Simba zinadai wachezaji 11 ambao wataanza kikosi cha kwanza wameahidiwa Milioni 20 kila mmoja huku wachezaji 5 ambao wanaweza kuingia wao wameahidiwa Milioni 10 kila mmoja na wachezaji 3 ambao watabaki bechi wao watapewa Milioni 7.5 wakati wale 11 ambao watakaa jukwaani wao watapewa Milioni 5 kila mmoja huku iliyobaki watapewa viongozi wa bechi la Ufundi.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka