Connect with us

Soka

Magori Afunguka Simba sc

Aliyewahi kuwa mtendaji mkuu (CEO) wa klabu ya Simba kwa Sasa Mshauri wa Mohamed Dewji Mo (Mwekezaji wa Simba), Crescentuis Magori amesema ndani ya Klabu ya Simba Kuna wachezaji wanaihujumu timu hiyo ili kocha aonekane hafai.

Magori amedai kucheza vibaya kwa Simba sio sababu ya Kocha ni makusudi ya baadhi ya wachezaji. Magori amesema yupo kwenye Mpira wa Tanzania kwa muda mrefu anajua kinachofanyika Simba ili kumkomesha kocha na CEO mpya wa Klabu ya hiyo.

Magori ameongeza kuwa kwa Simba ya Sasa inaweza ikacheza bila hata kuwa na kocha na ikacheza vizuri na ikashinda michezo yake Ila kwa inavyoonekana watu wanamlau moja kwa moja kocha bila kujua na ameuomba Uongozi wa Simba alifanyie kazi tatizo hilo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka