Connect with us

Soka

Luc Aipongeza Simba sc

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Kocha mkuu Yanga Sc Luc Eymael atoa pongezi kwa Simba Sc kwa kutwaa taji la ligi kuu Tanzania bara msimu huu  .

Simba sc imetwaa taji hilo ikiwa ni mara ya tatu mfululizo baada ya kukaa bila taji kwa takribani miaka mitano ambapo uwekezaji wa bilionea Mohamed Dewji umeonekana kuleta mafanikio.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka