Connect with us

Soka

Lamine Moro Arejea

Beki tegemeo wa klabu ya Yanga sc Lamine Moro leo ataingia uwanjani kuivaa Kagera Sugar baada ya kumaliza adhabu ya kufungiwa mechi tatu pamoja na faini ya Shilingi laki tano ambazo alipewa baada ya kumpiga teke kiungo wa Jkt Tanzania Mwinyi Kazimoto.

Beki huyo katika kutekeleza adhabu hiyo alizikosa mechi za ligi kuu dhidi ya Azam fc,Namungo pamoja na Ndanda fc hivyo leo yuko huru kutumika baada ya kumaliza adhabu hizo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka