Connect with us

Soka

Kotei Kiroho Safi Simba

Kiungo wa zamani wa klabu ya Simba sc James Kotei amezungumzia suala la kurejea katika klabu hiyo siku za karibuni baada ya kuondoka na kuacha pengo klabuni hapo.

Kotei ambaye sasa anacheza soka nchini Beralus baada ya kuachana na klabu ya Kaizer Chief ya nchini Afrika kusini.

Akijibu swali la mwandishi wa chombo cvha habari maarufu nchini alisema kwamba suala la kurudi Simba linawezekana kutokana na mahusiano yake na klabu hiyo.

“Ubora wa Simba hakuna ambaye anaweza kugoma kufanya kazi kutokana na ushirikiano uliopo na ukizingatia kwamba sikugombana na viongozi.

“Iwapo itatokea kila kitu kimekwenda sawa nitarudi kuvaa jezi ya Simba kazi yangu ni mchezaji sichagui kambi,” amesema.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka