Connect with us

Soka

Kiungo Stars Atua Timu Ya Rooney

Kiungo wa Taifa Stars, Ally Ng’anzi ajiunga na timu ya Loudoun United FC ambayo ni timu ya akiba ya DC United aliyokuwa akichezea nahodha wa England, Wayne Rooney.

Kiungo huyo wa Taifa Stars amekamilisha uhamisho huo baada yakumalizana na Minnesota FC ya huko huko Marekani aliyokua akiitimikia hapo awali.

Ng’anzi anaingia kwenye historia ya mastaa kadhaa wa kitanzania waliokipiga nchini Marekani kama Nizar Khalfan,Nadir Haroub ‘Canavaro’ na Abdala Shaibu Ninja.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka