Connect with us

Soka

Kichuya Afungiwa Miezi 6,Aiponza Simba sc

FIFA imemfungia mshambuliaji wa Namhungo Shiza Ramadhan Kichuya miezi 6 kucheza soka baada ya kusajiliwa Simba sc akitokea Pharco Fc bila kufuata taratibu za usajili.

Pharco Fc aliyoichezea mchezaji huyo iliamua kushtaki FIFA baada ya mchezaji wao kuondoka pasi na kufata taratibu za uhamisho.

Ahabu hiyo imetoka huku Shiza ameshazitumikia klabu mbili za nchini Tanzania bila kufata uhalali (vibali vya kazi-Release letter) ambazo ni Simba sc na Namungo (walimpokea akitokea Simba sc)

Imefahamika kuwa Simba sc wao ambao walipata leseni ya muda mfupi wamepigwa faini ya dola laki moja na thelasini elfu huku wakifanikiwa kuepuka kufungiwa kusajili.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka