Connect with us

Soka

Kenya Yaiua Djibout

Timu ya taifa ya Kenya ya Wanawake imeibuka na ushindi wan magoli 12-0 dhidi ya timu ya taifa ya wanawake ya Djibout katika mchezo wa mashindani ya Cecafa chalenji ya wanawake uliofanyika katika uwanja wa chamazi jijini Dar es salaam.

Kenya imeungana na Tanzania kufuzu nusu fainali ya michuano hiyo huku Djibout ikivunja rekodi baada ya kuruhusu kufungwa mabao 25 katika mechi mbili.

Mchezaji Jentrix shikangwa alifunga mabao manne huku Merci Airo na Mwanalima Jereko wakifunga matatu kila mmoja na Vivian Makokha na Janeth Bundu akifunga moja.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka