Connect with us

Soka

Kanda Afura Kuikosa Yanga

Mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo na Klabu ya Simba Deo Kanda amesema kuwà hakufurahishwa na kocha wa Simba, Sven Vanderbroeck kumtupa jukwaani kwenye mechi ya watani wa jadi iliyochezwa jumapili iliyopita na Yanga kufungwa kwa magoli 4-1.

Kanda alianza kuchukia siku ya Jumamosi Baada ya kutolewa wachezaji 8 (yeye, Kichuya, Shiboub, Mlipili, Tairone, Kipenye, Rashid na Ajibu) kwenye program ya mwisho kujiandaa na mchezo huo Baada ya kuambiwa kufanya mazoezi ya pekee Kanda aligoma kufanya mazoezi hayo na kwenda kwenye basi la timu.

@Vanforsports

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka