Connect with us

Soka

Je Wajua?

Dirisha dogo la usajili kwa msimu huu wa 2019/20 litafunguliwa Disemba 16 2019 na kufungwa January 15 2019

Ilizoeleka dirisha hilo kufunguliwa Novemba 15 na kufungwa Disemba 15 lakini TFF imekuja na mabadiliko hayo

Dirisha la usajili litafunguliwa wakati ligi ikiwa imesimama kupisha michuano ya CECAFA Senior Challenge ambayo itafanyika nchini Uganda

Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Disemba 01 mpaka Disemba 19

Hivyo baada ya kumalizika kwa michezo ya kalenda ya FIFA, timu zitacheza raundi moja au mbili kisha ligi kusimama tena kwa karibu wiki nne

Mechi ya Watani ni baada ya dirisha dogo

Mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga utapigwa January 04 2020, wiki chache baada ya dirisha dogo kufunguliwa.

Kwa maana hiyo nyota wapya watakaosajiliwa na timu hizo, watakaribishwa na mchezo wa watani wa jadi.

Nb:Asante Naipenda Yanga kwa Ufafanuzi Huu

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka