Connect with us

Soka

Fitna Zawaponza Barca

Klabu ya Barcelona imetozwa faini ya kiasi cha Euro 300 na shirikisho la soka la Hispania baada ya kuvunja sheria wakati wa usajili wa mshambuliaji Antoine Griezman kutoka Atletico Madrid kwa dau la Paundi milioni 120.

Timu hiyo imetozwa faini hiyo baada ya kuanza mazungumzo na mchezaji huyo mapema bila kupewa ruhusa na klabu yake ya Atletico Madrid kinyume na sheria na taratibu za usajili.

Barcelona ilimsajili nyota huyo wa timu ya taifa ya ufaransa baada ya kulipa kiasi kilichopo katika mkataba wake japo Atletico walilalamika kuwa mazungumzo yalianza kabla ya nyota huyo hajavunja mkataba wake.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka