Connect with us

Soka

Elfu 30 Kushuhudia Simba sc Vs Yanga sc

Uongozi wa uwanja wa taifa umesema kwenye mchezo wa nusu fainali FA cup Simba sc dhidi ya Yanga July 12, 2020 utachezwa ukiwa na Mashabiki elfu (30) badala ya elfu sitini (60)

Uongozi umeeleza hatua hiyo itachukuliwa ikiwa ni tahadhali na kufuata masharti yaliyotolewa na selikali kuhusu kujikinga na virusi vya corona (COVID-19).

Mechi hiyo inatarajiwa kuwa na mvuto mkubwa kwa mashabiki wa soka nchini ambako kwa mwaka huu kuongezeka kwa ushindani baina ya timu hizo kunatajwa kuwa chanzo cha mashabiki wa timu hizo kujaa uwanjani.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka