Connect with us

Soka

Dilunga Anukia Bondeni

Staa wa klabu ya Simba Hassan Dilunga huenda akaachana na timu hiyo baada ya kupata ofa za kucheza nje ya nchi huku mkataba wake na klabu hiyo ukielekea ukingoni.

Imebainika kwamba staa huyo amepata ofa nono kutoka Afrika ya Kusini katika timu ya ligi kuu huku pia akiwa na ofa kutoka Uarabuni.

Dilunga amekua na msimu mzuri katika klabu hiyo baada ya kusaidia kupachika mabao na kutoa assisti kwa wenzake.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka