Connect with us

Soka

De gea Ajifunga United

Baada ya sekeseke la muda mrefu hatimaye kipa wa Manchester united David De Gea amesaini mkataba mpya utakaomuweka klabuni hapo hadi mwaka 2023 huku akiwa kipa anayelipwa zaidi duniani.

De gea alijiunga na united mwaka 2011 chini ya Sir Alex Ferguson akitokea Atletico Madrid kwa dau la paundi 18.9m ambapo amefanikiwa kuichezea united michezo 367 akiisaidia timu hiyo kuchukua ubingwa wa ligi kuu mara moja,kombe la FA na kombe la ligi huku akiipa taji la ubingwa wa ulaya mara moja.

De gea aliyeichezea timu ya taifa ya hispania michezo 40 amekua kipa kipenzi cha mashabiki na makocha waliopita united amesaini mkataba huo mnono atakaolipwa paundi 350000 kwa wiki.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka