Connect with us

Soka

Chong Ajifunga Miwili Man Utd

Kinda wa Kiholanzi Tahit Chong amesaini mkataba  wa miaka miwili kuendelea kukipiga katika klabu ya Manchester United huku kukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi mpaka mwaka 2022.

Kinda huyo mkataba wake wa awali ulikua unaisha mwezi june mwaka huu na kuzivutia timu kadhaa kama Inter Milan huku makubaliano na United yalikua yakilegalega kabla ya kusaini dili hilo.

Chong alijiunga na United mwaka 2016 na alicheza mechi ya kwanza ya kikosi cha wakubwa mwezi january mwaka 2019 dhidi ya Reading katika kombe la Fa alisema ni ndoto kwake kujiunga na timu hiyo na anafuraha kuongeza mkataba klabuni hapo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka