Connect with us

Soka

Chelsea Wanusa “Top Four”

Klabu ya Chelsea imeongeza matumaini ya kumaliza katika nafasi nne za juu baada ya kuibuka na ushindi katika mchezo dhidi ya Aston Villa katika uwanja wa Villa Park.

Vijana hao wa Frank Lampard iliwabidi kusawazisha goli la  Kortney Hause lililofungwa dakika ya 43 ambalo lilidumu mpaka dakika ya 60 baada ya Pulisic kusawazisha na dakika mbili baadae Oliver Giroud aliongeza bao la pili.

Chelsea wanaongeza pengo la pointi 5 dhidi ya Man United wenye pointi 46 na huku Aston villa wakisalia nafsi ya pili mkiani wakiwa na pointi 26.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka