Connect with us

Soka

Chama Yuko Sokoni

Afisa mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba, Senzo Mazingisa amesema kuwa kwenye mpira lazima Biashara ifanyike amewaambia Klabu ya Yanga kuwa Kama wanamtaka Kiungo wa kimataifa wa Zambia, Clatous Chama wafuate taratibu za kuvunja mkataba wa miaka miwili ulibaki na Simba.

Senzo amedai kuvunja mkataba wa Chama si chini ya Dola 350,000 ambazo ni zaidi ya milioni 800 za kitanzania ambazo zipo kwenye mkataba wake zikilipwa hana shida.

Siku za karibuni kumekua na tetesi kuwa mkataba wa kuingo huyo upo mwishoni na klabu ya Yanga tayari wako mbioni kukamilisha dili la kumsajiri.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka